midomo mikubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mabinti wanaweka filter za kuongeza midomo ionekane mikubwa?

    Unakuta msichana amepost mtandaoni video au picha, amejiwekea filter ya kuongeza mdomo unakua umetuna kama ameng’atwa na nyuki. Nimeona sana kwa mabinti wa chuo, na binafsi sielewi, huu ndiyo urembo wa kisasa au? Naomba kueleweshwa!
Back
Top Bottom