Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Unakuta msichana amepost mtandaoni video au picha, amejiwekea filter ya kuongeza mdomo unakua umetuna kama ameng’atwa na nyuki.
Nimeona sana kwa mabinti wa chuo, na binafsi sielewi, huu ndiyo urembo wa kisasa au?
Naomba kueleweshwa!
Nimeona sana kwa mabinti wa chuo, na binafsi sielewi, huu ndiyo urembo wa kisasa au?
Naomba kueleweshwa!