Hivi kwanini mabinti wanaweka filter za kuongeza midomo ionekane mikubwa?

Hivi kwanini mabinti wanaweka filter za kuongeza midomo ionekane mikubwa?

Ndiyo hivyo hiyo ni fashion ya kisasa, lips kubwa zinaonekana ni urembo. Kuna watu wanafanya mpaka procedure maalum ya kupasua mishipa fulani ya ndani kwenye lips ili kufanya lips ziwe kubwa, si mambo ya filter tu.
Basi sawa, uhuru wa kila mtu kuchagua na kufanya anachopenda uheshimiwe

Instantacrylics GIF by Trés She.gif



Lips Kiss GIF by Bounce.gif
 
Back
Top Bottom