spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Thick lips za kunyonyea mti hizo zile nyembamba ni za kupoozea uji
NIlikua najua midomo ni ya kulia chakula tu 🚶♀️ 🚶♀️Thick lips za kunyonyea mti hizo zile nyembamba ni za kupoozea uji
Vinaonyeshwa, tuonyeshe hata kwa vitendo hilo balaa la lipsSasa vitendo vinaelezwa au vinafanywa?
🤣🤣Kwa kweli....lile eneo ni very sweet😂😂😂😂😂
Ila wee, nimechekaa sanaa. Lol
🤣😂😂😂😂 daah!Humu jf kuna walanguzi wa mapenzi...
Jf wengi ni waongo kuna siku niliingia cha kike.
Uzi unasema natafuta mchumba..
Kumfata DM nashangaa huyo anaejiita mdada ananichatisha kibabe kweli an mpaka nikashangaa huyu ni mdada au ni mkuu kama wakuu wengine...
Yaan nilijuta alafu badae akasema sijui niwe na heshima yeye ni kama baba angu...
Na bado huku alisema anatafuta mume awe muislamu...
Tulitukanana sana ndo akawa anasema hayo.maneno juu hapo
Bottom door ndiyo nini?Hiyo midomo nayo kwa nini inakubali? Maaana kisayansi inatakiwa iwiane na bottom door
Hata wewe unataka mpangie aliyepost huu Uzi?Picha zao. Filter zao. Maisha yao.
Unataka kuwapangia?
Hapana. Yeye kapost mada JF. JF is a public forum.Hata wewe unataka mpangie aliyepost huu Uzi?
Simu yake,bando lake,mada yake?
Hio TikTok na hizo picha zingekua Private angezipataje?Hapana. Yeye kapost mada JF. JF is a public forum.
Get it right. Don't get it twisted.
Kwani nani kasema TikTok ziko private?Hio TikTok na hizo picha zingekua Private angezipataje?
Humu nimeambiwa lips zina kazi nyingine tofauti na nyie wanaume ndiyo mnapenda hiyo midomo.Mondi na Aziz wametuharibia mabinti, lips denda.
Kazi kweli kweli, sasa mkikutana live mdada si anakua tofauti kabisaSi midomo mikubwa na macho kama mayai
Nenda kavisit p*rnhubVinaonyeshwa, tuonyeshe hata kwa vitendo hilo balaa la lips
Hapo kikubwa pa kutelezea anapo basi mengine majaliwaKazi kweli kweli, sasa mkikutana live mdada si anakua tofauti kabisa