miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  2. Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  3. Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  4. Ndani ya miezi 6, Kampuni za Teknolojia zimefukuza Wafanyakazi 201,860

    Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa wafanyakazi umefanywa na makampuni makubwa zaidi katika teknolojia kama Google, Amazon, Microsoft, Yahoo...
  5. Kagera: Mahakama yampa Mtendaji wa Kijiji miezi 6 kurejesha Tsh. 8,974,125 za Halmashauri

    Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria. Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za...
  6. R

    Madavadi awaambia Wakenya wajiandae kwa nyakati ngumu za uchumi, miezi sita haitoshi!

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka. Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
  7. Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
  8. M

    Kuna Bank au Mtandao wa simu napoweza kuweka pesa bila access ya kutoa kwa Miezi 3, 6, 9, au 12?

    Kiukweli nmeshindwa kabisa kutunza pesa, msaada wenu wakuu.
  9. DP-World: Ibara ya 5(4) ya mkataba inayotaja miezi 12, haitekelezeki kwa kuzingatia ibara ya 23

    Ibara ya 5 - Haki za Kukuza, Kuendesha na kusimamia (1) Nchi Wanachama wanakubaliana kwamba DPW itakuwa na haki pekee za kukuza, kusimamia na/au kuendesha Miradi kama ilivyoelezwa katika Kiambatisho 1 sehemu ya 1, moja kwa moja au kupitia Kampuni washirika chini ya Mkataba kama itakavyoainishwa...
  10. Baada ya kuuziwa infinix kwa 700k ni mwaka na miezi miwili sasa zimepita nimesamehe nishaurini tena wakuu

    Niaje Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k hapo ninampango niongezeze 300k ili itimie 700k sasa nataka mnishauri ni mkwaju gani wenye akili timamu...
  11. B

    Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

    Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba. Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake. Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa...
  12. Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  13. Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  14. Afisa Usalama Feki ahukumiwa jela miezi 3

    Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa. Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
  15. Baada ya vuta nikuvute ya kujaribu kuacha fegi, hatimae kwa sasa nimejinasua kabisa kwenye kifungo cha uraibu wa sigara, ni miezi 6+ siijui fegi

    Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka. Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
  16. Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

    Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend. Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
  17. Nliishi kwa shida na kukaribia kufa ndani ya Miezi ya moto

    Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yangu. Nlikonda ghafla, nikawa na mawazo wakati wote na nikawa nashawishika kunywa sumu. Nliona hiyo ndo ilikuwa njia rahisi pia kuniondolea mawazo na manyanyaso ambayo naelekea kuyapata. Nlikuwa nimesafiri kwenda mkoa flani kikazi kama week 3...
  18. Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko mwaka 2017sura nayo nzuri sana Sijisifii kila siku nawaambia mungu alinibariki nikashika hela...
  19. DOKEZO Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
  20. SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…