Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.
Katika hali hiyo...
Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.
KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima
Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja
Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo.
Kwa upande...
Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi.
Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma.
Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya talaka kwa ajili kuvunja ndoa zao katika Baraza la Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia November hadi December 20 mwaka huu.
AyoTV imezungumza na Mwenyekiti wa Baraza hilo Muhimba Payovela...
Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia?
Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
Hatimaye gwiji wa kitambo mpiga gitaa wa rythm Lokasa Ya Mbongo kazikwa kwao Congo jumamosi baada ya kuishi muda mrefu akiwa amefariki kule Marekani hebu kumbuka ngoma yake moja mimi namvulia kofia na nyimbo yake ya Monica iliyovuma miaka ya 80s mwanzo.
Rip Lokasa Ya Mbongo
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.
Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
Ndoa n jambi jema sana.
Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana.
Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa.
Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa
Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii
Wachaga wanasema bado mtasemaaaa.
Sikukuu...
Ndugu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu,
International Center for AIDS Care and Treatment Program - ICAP, Mkoa wa Mwanza, shirika halijalipa mishahara ya watumishi wake kwa miezi 3 sasa. Hakuna taarifa kwanini hawajalipa mishahara kwa miezi 3. DAS na RACC (wasimamizi wa kazi na mikataba) hawatoi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki.
Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila...
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy.
Kifaa hicho kinatumia mpira laini wenye kamera ya uchunguzi wa mapafu bila kuhitaji mgojwa...
Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu.
Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system
Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo?
Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.