Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo,
Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili,
Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili,
Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu.
Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha!
Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha!
Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu-...
Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7,
Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18
Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh
Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa
Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.
Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la...
Habari za wakati huu ndugu zangu humu !!
Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao hawana kazi ila wana pa kuanzia. Nazungumza na yule mtu ambaye anasema hana mtaji wakati mkononi...
Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi??
Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima
Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita.
Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini mwezi wa 10/2023 niliona humu JamiiForums watu wanahimizwa sana kupimwa kujua afya zao na mimi...
Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika.
Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba.
Credit: WasafiTv
BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.
JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE...
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
bunge
juni
kumaliza
lazima
maajabu
machi
mgao
mgao wa umeme
mgawo
miezimiezi 3
mpaka
mwezi
nishati
serikali
spika
spika tulia
umeme
wakati
wizara ya nishati
Kompa music vs Amapiano.
Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.
Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo...
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024.
Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi).
Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.