Shalom,
Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani
Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF.
Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae.
simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne.
Kwa sasa amani...
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4.
Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000.
Kama una...
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo?
===
Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani.
LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala...
Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa.
Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo
Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
Penny buana me nina makasiriko.
Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar.
Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo.
Simu hapokei.
Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa?
Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya...
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka.
Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana.
Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza.
Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini
https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA
John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.