Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 413
- 726
Jambo Wakuu!
Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali.
Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia hapa,japo kwa kuelekezwa na jamaa yangu namna ninavyoweza kuendelea kuwa humu bila kikwazo.
Nimekutana na sanduku langu la PM likiwa na jumbe za kutosha ambazo hata siwezi kumaliza kuzifuatilia na kuzijibu kwa wakati,lakini Jambo la Msingi ni kuwa ninashukru sana na nimegundua kuwa kumbe Mimi ni mtu mhimu sana katika jamii.Ninaomba kuwaambia kuwa Mimi ni buheri wa afya na 2026 nimeendelea kuwa imara kabisa.
Mhimu tuzidi kuwaombea ndugu zetu wa JF wamalize changamoto zao za kisheria na serikali ili jukwaa letu liendelee kuwa huru maana JF Ni zaidi ya fursa.
AMINA🙏🙏