Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi

2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano

3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote

4.Lissu yupo jera Kwa miezi 8, anaeneza vipi uchochezi

5. Lissu karibia mwaka hana platform yoyote ya kuzungumzia, hana media, simu wala internet

6. Lissu ni mgonjwa na kilema, ana majeraha makubwa

7. Lissu yupo chini ya uangalizi mkali Kwa karibia mwaka Sasa,

8. Lissu siyo aliyehujumu uchaguzi Kwa ulaghai

9. Lissu sio aliyewanyima wananchi katiba mpya

10. Lissu siyo fisadi

11. Lissu siyo aliyepika matokeo ya uchaguzi

12. Lissu siyo anayeteka na kuuwa watu
Mambo myavuruge wenyewe, watu muuwe wenyewe msingizie Lissu na Chadema
 
Labda Lissu ndiyo anamtuma Mafwele kuteka, kulawiti na kuua kwani hayo ndiyo chanzo cha vurugu yakaja kuongezewa na uhararamia wa uchaguzi.
 
Uchochezi aliuanza kabla hajaingia selo, so impact za Uchochezi pamoja na kutokea akiwa selo, bado haziwezi kumtenganisha nazo
 
Ukiwasikiliza unahisi hawa watu wanaishi angani, hawapo tena ardhi ya dunia hii.

Yaani kabisa wanajitapa kulikuwa na uchaguzi huru, wa haki na wameshinda ‘fair and square’; na wana amini kabisa huo ndio ukweli bila ya soni.

Aisee
 
Back
Top Bottom