Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

Ukiwasikiliza unahisi hawa watu wanaishi angani, hawapo tena ardhi ya dunia hii.

Yaani kabisa wanajitapa kulikuwa na uchaguzi huru, wa haki na wameshinda ‘fair and square’; na wana amini kabisa huo ndio ukweli bila ya soni.

Aisee
Yaani kama maDISH yamecheza...sijui wanatuchukuliaje sisi wananchi
 
Back
Top Bottom