Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

ManyamaUS

Member
Joined
Dec 21, 2022
Posts
42
Reaction score
125
Habari JF
Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika
Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari
Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika.
Ukiwa fundi itakuwa poa sana kupata connection ukiwa kazini.
Malipo ni 12000/=per day kazi inaanza saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa shift ya mchana.
Kwa shift ya usiku kazi inaanza saa 2 usiku hadi saa 11 alfajiri CHAKULA unajitegemea. Malipo ni mkononi na ni kila baada ya wiki unapata malipo yako.
Siku za kazi ni jumatatu hadi Jumapili ila jumapili ni mpaka saa 7 ingawa malipo ni hiyo hiyo 12000 pia jumapili ni hiari yako kuingia kazini siyo lazima.

Kwa aliyetayari na anaehitaji kazi tuwasiliane kwa namba 0750767844
Wanahitajika kuanzia kesho.
 
Si upo dar, nenda hapo ukafanye kazi.

Bosi wako ni Busu la Kenge wanaman
Japo Mimi Jobless nishawahi Fanya kazi ngumu kibaha najua mikiki yake , kwanza ratiba mpaka jioni itaniCost maana J3 mpk Ijumaa naingia darasani Veta .

Ingekuwa weekend wanaruhusu ningeingia kuongeza pocket money ya kununua Gun kwa ajili ya Dujeumsaeng Busu la Kenge de umbwaz de Scumbabag.
 
Habari JF
Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika
Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari
Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika.
Ukiwa fundi itakuwa poa sana kupata connection ukiwa kazini.
Malipo ni 12000/=per day kazi inaanza saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa shift ya mchana.
Kwa shift ya usiku kazi inaanza saa 2 usiku hadi saa 11 alfajiri CHAKULA unajitegemea. Malipo ni mkononi na ni kila baada ya wiki unapata malipo yako.
Siku za kazi ni jumatatu hadi Jumapili ila jumapili ni mpaka saa 7 ingawa malipo ni hiyo hiyo 12000 pia jumapili ni hiari yako kuingia kazini siyo lazima.

Kwa aliyetayari na anaehitaji kazi tuwasiliane kwa namba 0750767844
Wanahitajika kuanzia kesho.
Ukiitwa kwenye fursa wewe ndio fursa ....hapo posho usikute ilikuwa 20k au 25k ila kosa ni mtu mweusi kuwa katikati.
 
Umetukosea heshima sana,
Sisi humu wote tuna kazi au biashara kubwa, tunaishi masaki mikocheni au Upanga, tuna nyumba na geti kubwa, na gari si chini ya mbili,
peleka hili tangazo kijiwe cha boda
 
Hahahah nme Cheka sana Yani humu tunpigana mpaka mizinga ya efu tano mkuu, hujawahi kutana na hio changamoto? Kuna yule jamaa alie oa alitumiwa ef mbili na akashukur humu unajiuliza na makato yakitolewa ana Baki na ngapi? Hapana mkuu si wote Wana life humu kwangu pakavu tia mchuzi hawavumi lakini wamooooo
 
Back
Top Bottom