Nazungumzia upande wangu, na wengine ninaofanya nqo kazi.aise nyie kazi za saidia fundi mnamlipa shingap kwa day
Anhaa vipi huko kazi zinapatikana nina dogo langu hapa kamaliza kidato cha 4 naona tu kakaa tu hana cha kufanya.Nazungumzia upande wangu, na wengine ninaofanya nqo kazi.
Saidia fundi 15k, chakula Cha mchana analipiwa.
Kwenye kampuni nyingi wanalipa 12k unajitegemea Kila kitu.
Hii inatokana n mara nyingi Hela inakatwa Sana, mfano vibarua wako 30, ikikatwa 2k per day Kwa watu 30, Kwa wiki inakuwa Hela nyingi wanafaidika wakubwa.
Kwa mafundi vile vile kinakatwa chochote kitu.
Kwahiyo bei aliyotoa jamaa Yuko sawa, kwenye kampuni nyingi wanalipa hivyo, Yuko sahihi
Mjini zipo kaka hasa hizo za kwenye kampuni za ujenzi.Anhaa vipi huko kazi zinapatikana nina dogo langu hapa kamaliza kidato cha 4 naona tu kakaa tu hana cha kufanya.
Anhaa nitakutafuta mkuu panapo majaliwa tuangalie tunafanyeje.Mjini zipo kaka hasa hizo za kwenye kampuni za ujenzi.
Kwa mafundi binafsi unaweza kufanya kazi labda mwezi mzima, baada ya hapo kazi zinakata, so itategemea connection Yako na mafundi wengine.