Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 153
- 338
Mkuu acha hizo basi ina maana kama una rafiki au ndugu au hata jirani anayefanya vibarua ukiona hilo tangazo huwezi kumwambia akafanye mbona makuzi sana siyo poa aisee kuweka hapa inamaana yake kuna mtu anaweza kuona akampa mchongo jamaa yakeUmetukosea heshima sana,
Sisi humu wote tuna kazi au biashara kubwa, tunaishi masaki mikocheni au Upanga, tuna nyumba na geti kubwa, na gari si chini ya mbili,
peleka hili tangazo kijiwe cha boda