PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.

WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.

Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.

Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.

Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.

Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.

Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
 
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala.

Utaongozaje nchi kwa hali hii.

Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba. Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
 
Mimi sikutarajia kama inchi inaweza kuvurugika sababu ya tamaa za mtu mmoja ambaye hataki kufwata haki ya raia wake,kiuhalisia hata Zimbabwe ilianza hivihivi,leo Zimbabwe panamaisha magumu hapafai raia zake tunao hapa South wanajiuza tu na maumbile yao yale makubwa kama tembo
 
Huyo ni Rais wa vyombo vya Dola vinavyomlinda lakini siyo Rais wa wananchi, Mimi huwa nacheka Sana anavyojizima data eti kashinda uraisi kwa 98%.
 
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Muachieni padri afanye postmortem ya ndugu yake kwanza acheni hzo habar, Kwan mna shida gan mna force mambo?
 
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Huyo balozi mliyetaka kumhonga LNG kesho yake uliisikia nyundo ya Mkiti wa Foreign Relations.

Eti mnalinda maliasili my foot,
aliyeuza bandari ni GenZ, aliyehonga Loliondo ni GenZ
 
balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale u Dodoma. ande wetu inatosha

MUONGO MKUBWA au taarifa za serikalini HUNA

Ikulu ndio iliwaomba ubalozi wa US waende. Samia akawaambia tunaomba ufafanuzi wa statement zenu kwamba mnapitia upya mahusiano.

Ubalozi ukaeleza yale yale kwa kifupi na mkutano ukaisha bila la zaidi bila la kupunguza.

Sasa utasemaji US wameenda kwa Samia kuonyesha support ?
 
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
We unaongea nin!,wakat mpaka sasa kila kitu mmeuza au haupo tz
 
Mimi sikutarajia kama inchi inaweza kuvurugika sababu ya tamaa za mtu mmoja ambaye hataki kufwata haki ya raia wake,kiuhalisia hata Zimbabwe ilianza hivihivi,leo Zimbabwe panamaisha magumu hapafai raia zake tunao hapa South wanajiuza tu na maumbile yao yale makubwa kama tembo

hivi unaamini kabisa kwamba maisha tanzagiza ni bora klk zimbabwe? labda kama unamaanisha maisha ya ccm politburo na wakuu wa serikali lkn maisha ya wananchi wa kawaida hayana tofauti na zimbabwe kwanza siajabu hata wametuzidi, dar mji mkubwa na muhimu wiki 2 sasa hakuna maji.

fyi, per capital income au pato la
mzimbabwe ni >3000 usd vs tanzagiza <1200 usd, hivyo mzimbabwe wa kawaida bado ana maisha bora klk mtanzagiza wa kawaida, ingawaje wameshuka kiuchumi lkn bado hawajafikia level yetu ya umaskini …
 
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Mbona mpumbavu sana?
 
Acha hizi propaganda zisizo na mashiko, Samia Suluhu ndio ameliingizia deni kubwa taifa ambalo halijawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii kutoka kwa haohao wazungu. Leo mnajizima Data kwasababu mnaogopa utawala wa haki na sheria wakati mmekuwa vibaraka wa wazungu miaka nenda rudi.
 
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.

Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.

Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.

Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Hakuna cha kuipigania Tanzania hapa, mnapigania matumbo yenu tu. Rasilimali za nchi mnauza tu kiholela af unakuja kuandika uharo hapa. We uliona nchi inayojiita ya kidemokrasia serikali inateka na kuua wananchi?
 
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.

WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.

Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.

Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.

Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.

Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.

Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Nchimbi anashida gani. Simuelewi elewi
 
Back
Top Bottom