Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Nachingwea tena? Hii code sijaisoma bado?Ungejua hata dola yenyewe imemkataa kilichobaki ni kigenge kidogo tu ambacho kimejimilikisha funguo za Nachingwea.
Nachingwea tena? Hii code sijaisoma bado?Ungejua hata dola yenyewe imemkataa kilichobaki ni kigenge kidogo tu ambacho kimejimilikisha funguo za Nachingwea.
Wewe nani hakujui kua ni chawa?MIMI SAMIA SIKUWA NAMKUBALI SANA LAKINI KITENDO CHA KUWAZUIA WAHUNI WALIOTAKA KUVURUGA AMANI TAREHE29/10/2025 IMENIBIDI NIMKUBALI SANA RAIS SAMIA.BORA UDAI HAKI KWA AMANI NA SIYO KWA KUCHOMA NCHI.WAHUNI WALIOJIITA GENZ WALIPEWA DOZI YAO HADI UHUNI WAO UKAISHA KABISA.
Kivipi funguka tufunguke.Nchimbi anashida gani. Simuelewi elewi
Kwahiyo umemkubali baada ya kuua, ila watu mna vihoja.MIMI SAMIA SIKUWA NAMKUBALI SANA LAKINI KITENDO CHA KUWAZUIA WAHUNI WALIOTAKA KUVURUGA AMANI TAREHE29/10/2025 IMENIBIDI NIMKUBALI SANA RAIS SAMIA.BORA UDAI HAKI KWA AMANI NA SIYO KWA KUCHOMA NCHI.WAHUNI WALIOJIITA GENZ WALIPEWA DOZI YAO HADI UHUNI WAO UKAISHA KABISA.
Sidhani unaelewa ulichoandika mkuu.Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
hujaelewa, nmekwambia nchi ziko nyingi za wewe kuhamia, sisi tunakujua kama mzee wa propagandaNyingi zipi zitaje tukupe misimamo yao.
Nihame nimwachie nchi mbwa au yaani nifukuzwe na mtu wa nchi jirani.hujaelewa, nmekwambia nchi ziko nyingi za wewe kuhamia, sisi tunakujua kama mzee wa propaganda
ndo ivo, kapige kelele zako ukooo somaliaNihame nimwachie nchi mbwa au.
Ataondoka yeye atawaacha watanganyika, mark my words.ndo ivo, kapige kelele zako ukooo somalia
🤣 🤣 hata baba levo bado hajawa president ushaanza kulalamikaAtaondoka yeye atawaacha watanganyika, mark my words.
Slovakia, Slovania, Bulgaria, Romania, Czech, Greece, Burundi, Uganda, Russia, Serbia.Nyingi zipi zitaje tukupe misimamo yao.
Miezi sita mbali kote huko,hivi kila akifumba macho anawaona Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Polepole wanamjia famchezo wewe !!Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.
Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Yale ni maajabu ya uongo ambao haujawahi kuwepo duniani.Huyo ni Rais wa vyombo vya Dola vinavyomlinda lakini siyo Rais wa wananchi, Mimi huwa nacheka Sana anavyojizima data eti kashinda uraisi kwa 98%.
Hivi kumbe bado uko hai? EEeeeenHEEEeeeeee!alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.Hivi kumbe bado uko hai? EEeeeenHEEEeeeeee!
Na bado unaendelea na 'hallucinations' za aina hiii?
Marekani ipi iwe upande wa wadini mnaotafuta kuangamiza taifa hili kama Sudan au Mali/Nigeria?
Huyo Balozi unayemsema hapo kampelekea Samia taarifa wazi kuwa mkiendelea katika njia hizo, Tanzania nayo itawekwa kwenye nchi ambazo zimewekewa vikwazo wananchi wake kutoingia Marekani; kwa sababu ya udini wenu!
Sasa unakuja hapa na kuchonga uongo kama huna akili kichwani?
Hana UWEZO tena wa kupiga PICHA kama HIZI, akiwa URAIANI au JESHINI.Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.
Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Sasa wakitaka madini ndio wamwangukie mtu mwovu kama Samia?Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.
Mnapambana kuiangusha Tanzania lakini mtashindwa tu. Huwa tunaiombea kwa nguvu makanisani.