- Thread starter
- #81
Kiti cha urais sio cha majaribio Samia ameprove.ana haki pia kwann unataka kumtenga
Kiti cha urais sio cha majaribio Samia ameprove.ana haki pia kwann unataka kumtenga
kwan baba levo hana haki?Kiti cha urais sio cha majaribio Samia ameprove.
Hao Wanaosimamia maandamano wakiwa Kenya wakiwa wamelipwa pesa za Ford Foundation hawahitaji kupimwa akili?.Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.
Neno la Rais hadharani ni agizo kwa mamlaka husika. Hawana sababu ya msingi ya kumuondoa Samia kwa sasa.Nimeona nikujibu kwa hii thread labda taelewa nguvu ya rais iko kwenye uchumi sio maneno ya taarabu.
Thread 'Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi' Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi
Hao watu wanapokuwa na lengo lenye madhara ya moja kwa moja kwa dola, wanaweza kuumizwa pia.Nafikiri si tu huna akili bali hekima ya kiutu.
Pengine hujui kuwa rasilmali kubwa zaidi ni watu, huangamizi hiyo rasilmali, kwa akili ndogo tu.
Wazungu ndio wanao waambia muue watu kisa tu wanapo wakosoa !?Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Kwani walikuwa na sababu ya kumuondoa Sadam au Gadafi, ukiingia anga zao wanakuflash. Angalia anavyohangaika hata kupiga nao picha tu anaona fahari.Neno la Rais hadharani ni agizo kwa mamlaka husika. Hawana sababu ya msingi ya kumuondoa Samia kwa sasa.
Punguzeni ukasuku wa kitoto.
Unapochochea moto nawe usije jilaumu.Hao watu wanapokuwa na lengo lenye madhara ya moja kwa moja kwa dola, wanaweza kuumizwa pia.
Jiulize ni kwanini hakuna mtu hata mmoja aliyetoka nje tarehe 9 Desemba.
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Mbona tarehe 9 desemba hakuna aliyeuwawa?. Tutaipigania nchi hii kwa wivu mkubwa.Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.
Ukisikiliza story za media chonganishi kila kitu kimechukuliwa na wageni, ukisikiliza yale yanayosemwa na wenye dhamana huko serikalini unapata picha tofauti na hizi habari za kimbea.Nali gani hizo za kuachia. Kila kitubtatari Wahuni washakifanuia biashara. Kuanzia Tanzanite, gas, Uranium, dhahabu, almasi, makaa ya mawe, Ngorongoro, misitu mpaka bandari. Sijui ni nini kimebakizwa ambacho mnataka kukitumia kama kisingizio...!?
Samia hayupo wa kumflash, Mungu pekee atamchukua kwa wakati anaoona unafaa.Kwani walikuwa na sababu ya kumuondoa Sadam au Gadafi, ukiingia anga zao wanakuflash. Angalia anavyohangaika hata kupiga nao picha tu anaona fahari.
Kwann unamuwazia rais wako kifo.Samia hayupo wa kumflash, Mungu pekee atamchukua kwa wakati anaoona unafaa.
Gen Z wanamchukia amewaambia ukweli dola ni lazima ilindwe haiwezi kuachwa kizembe.Kwann unamuwazia rais wako kifo.
Wewe kilaza wakala wa wazungu ni watawala wenu walioingia mikataba ya kimangungo tangu tupate uhuru.Umekuwa kasuku umekaririshwa ujinga na watawala nawe kama zwazwa unajiropokea tu.Lissu alijiapiza akisema kitanuka na uchaguzi hautafanyika. Na kweli kikanuka vibaya sana siku ya uchaguzi.
Tupo kwenye mstari ulionyooka, hao mawakala wa wazungu tutashughulika nao mmoja baada ya mwingine.
Vilaza ni nyinyi mnaofanya shughuli haramu ya kutaka kupindua nchi kwa kuwatumia hao hao wazungu, tumeanza na Mange kule USA accounts zake zote zimepigwa chini na hata akikata rufaa kaambiwa hataweza tena kurudishiwa.Wewe kilaza wakala wa wazungu ni watawala wenu walioingia mikataba ya kimangungo tangu tupate uhuru.Umekuwa kasuku umekaririshwa ujinga na watawala nawe kama zwazwa unajiropokea tu.
Wananchi wangapi?Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola
WanaCCM wangapi?WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki
Mhisani ni mhisani, ana hiari ya kukusaidia au aache. Unapoomba si lazima upate- ukipata sawa na usipopata ni sawa. UN,EU,AU, SADC ni wana hiari, kwasababu hatukuwaomba pesa ya gharama za uchaguzi- Si lazima wao waunge mkono.Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake
Chizi wewe unatuita sisi wananchi wahuni,hujui kwamba hata wewe kima utafaidika na huu ukombozi wetuMIMI SAMIA SIKUWA NAMKUBALI SANA LAKINI KITENDO CHA KUWAZUIA WAHUNI WALIOTAKA KUVURUGA AMANI TAREHE29/10/2025 IMENIBIDI NIMKUBALI SANA RAIS SAMIA.BORA UDAI HAKI KWA AMANI NA SIYO KWA KUCHOMA NCHI.WAHUNI WALIOJIITA GENZ WALIPEWA DOZI YAO HADI UHUNI WAO UKAISHA KABISA.
Kilaza wewe unaimbisha upuuzi nawe unaitikia tu kama zuzu, uchawa umekutoa ufahamu kabisaVilaza ni nyinyi mnaofanya shughuli haramu ya kutaka kupindua nchi kwa kuwatumia hao hao wazungu, tumeanza na Mange kule USA accounts zake zote zimepigwa chini na hata akikata rufaa kaambiwa hataweza tena kurudishiwa.
Mtu aliyetumwa na serikali kawaeleza kwa kirefu mabaya yote anayoyafanya katika kuifanyia Tanzania usaliti, mama wa kizungu machozi yakamtoka wakati anasikiliza maelezo yenye kumhusu huyo kichaa Mange.