PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vilaza ni nyinyi mnaofanya shughuli haramu ya kutaka kupindua nchi kwa kuwatumia hao hao wazungu, tumeanza na Mange kule USA accounts zake zote zimepigwa chini na hata akikata rufaa kaambiwa hataweza tena kurudishiwa.

Mtu aliyetumwa na serikali kawaeleza kwa kirefu mabaya yote anayoyafanya katika kuifanyia Tanzania usaliti, mama wa kizungu machozi yakamtoka wakati anasikiliza maelezo yenye kumhusu huyo kichaa Mange.
Kufungiwa kwa akaunti za Mange hakutafuta kwamba serikali imeua watu zaidi ya elfu 10.
 
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.

WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.

Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.

Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.

Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.

Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.

Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Njia mbadala ni moja lakini ni hatari sana.

Watu wameanza kuihubiri mm$&::tuni
 
Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.

Mnapambana kuiangusha Tanzania lakini mtashindwa tu. Huwa tunaiombea kwa nguvu makanisani.
Ili uwe na akili sawa sawa nenda kafiran na mamako mzazi !
 
Back
Top Bottom