Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Lissu alijiapiza akisema kitanuka na uchaguzi hautafanyika. Na kweli kikanuka vibaya sana siku ya uchaguzi.Sidhani unaelewa ulichoandika mkuu.
Kama unawasema wapinzani, ndiyo madalali wa rasilimali za Tanganyika, basi ubongo wako una tatizo la Mirembe kabisa.
Niambie mkataba hata mmoja wa rasilimali za Tanganyika uliowahi kusainiwa na mpinzani zaidi ya Hawa walioko madarakani toka CCM.
Wapinzani wanapiga kelele wakiwa nje ya utawala, zisizoathiri uporaji wenu.
Na mmewaapia hawatashika madaraka hata kama watashinda.
Tupo kwenye mstari ulionyooka, hao mawakala wa wazungu tutashughulika nao mmoja baada ya mwingine.