StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Hana UWEZO au Hana AMANI?Hana UWEZO tena wa kupiga PICHA kama HIZI, akiwa URAIANI au JESHINI.
View attachment 3514747
Hana UWEZO au Hana AMANI?Hana UWEZO tena wa kupiga PICHA kama HIZI, akiwa URAIANI au JESHINI.
View attachment 3514747
Unapoongea na watu wenye akili tumia akili!Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Zoeeni hiyo sauti hadi 2030!!Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.
Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Sauti ganiZoeeni hiyo sauti hadi 2030!!
Samia Suluhu HassanSauti gani
What a bitch, uchumi gani ka nchi ata GPD ya $100b hakana eti uchumi🤣Ukiona fitina ya kutokea nje inazidi kuongezeka tambua kuwa tunazidi kukua kiuchumi.
TEC na wao hawakwepi lawama, walianzisha fitina kwa mradi wa DP World wakashindwa. Father Kitima ndugu yake Lissu akaendelea kuikwaza serikali akiongea mengi ambayo yanaonyesha kwamba yeye na Lissu ni kitu kimoja.
Kuna mahali fulani tumefika kiuchumi hivyo fitina za kutokea nje na ndani lazima ziongezeke.
Ukimtukana Rais wa nchi unatafuta matatizo, duniani kote. Amiri Jeshi Mkuu ndio kiongozi wa wanajeshi wote wa Tanzania, yoyote kati yao anaweza kukumaliza.Basi una mavi kichwani wewe, mdude alikua ana baya lipi ambalo usalama wasingeweza kuweka wazi? Soka, kipanya, polepole, kibao,
Uchumi mpana tunaoufahamu wote. Hakuna Rais atakayekuletea pesa nyumbani kwako.Uchumi upi unaosema umekua.
Hakuna wa kukuzuia kuwa na mawazo ya aina hiyo, mpo wengi wa aina yako.What a bitch, uchumi gani ka nchi ata GPD ya $100b hakana eti uchumi🤣
Akili inatumika vizuri tu. Tutalinda rasilimali zetu kwa wivu mkubwa.Unapoongea na watu wenye akili tumia akili!
Ni kweli kabisa mkuu. Hao wazungu ndio wamesababisha mpaka shida ya maji yapata mwezi sasa maeneo mengi ya nchi hayana huduma ya maji safi kwa sababu ya wazungu.Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Wa mtu mmoja mmoja na wa taifa kwa ujumla.Uchumi upi unaosema umekua.
Nafikiri si tu huna akili bali hekima ya kiutu.Akili inatumika vizuri tu. Tutalinda rasilimali zetu kwa wivu mkubwa.
Sauti ya Who are You, wamemsikia na wameshamjibu tayari.Samia Suluhu Hassan
Ukimtukana Rais wa nchi unatafuta matatizo, duniani kote. Amiri Jeshi Mkuu ndio kiongozi wa wanajeshi wote wa Tanzania, yoyote kati yao anaweza kukumaliza.
Pia agizo la mkuu wa nchi ni amri lazima litekelezwe. George Bush kabla hajaondoka aliacha amemuweka RIP Ghadhaffi katika kundi la maadui watano wa USA. Barack Obama alipoingia madarakani akatimiza agizo alilolikuta limeachwa na mtangulizi wake Bush.
Uchumi mpana tunaoufahamu wote. Hakuna Rais atakayekuletea pesa nyumbani kwako.
Nimeona nikujibu kwa hii thread labda taelewa nguvu ya rais iko kwenye uchumi sio maneno ya taarabu.Ukimtukana Rais wa nchi unatafuta matatizo, duniani kote. Amiri Jeshi Mkuu ndio kiongozi wa wanajeshi wote wa Tanzania, yoyote kati yao anaweza kukumaliza.
Pia agizo la mkuu wa nchi ni amri lazima litekelezwe. George Bush kabla hajaondoka aliacha amemuweka RIP Ghadhaffi katika kundi la maadui watano wa USA. Barack Obama alipoingia madarakani akatimiza agizo alilolikuta limeachwa na mtangulizi wake Bush.
Uchumi mpana tunaoufahamu wote. Hakuna Rais atakayekuletea pesa nyumbani kwako.
Samia ana depress kila mtanzania anatutia stress sana huyu kiumbe kwanini asitupishe?
Mtu mmoja Utupe depression nchi nzima?
Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Kama samia ameweza kuwa rais kweli kabisa hata babalevo ana weza fanya vizuri kumshinda.🤣 🤣 hata baba levo bado hajawa president ushaanza kulalamika
ana haki pia kwann unataka kumtengaKama samia ameweza kuwa rais kweli kabisa hata babalevo ana weza fanya vizuri kumshinda.