Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki, yokozuna na vitoko sijui.
Watakapotaka kutumia rasilimali zao kuendeleza taifa ndo watakuta Kila...