mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  2. David Kafulila: Ukitaka kuondoa rushwa na Mikataba mibovu, cha kwanza ni uwazi. PPP ina malengo Makubwa

    Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia: Ufafanuzi wa ubia Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
  3. Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  4. Rais Samia ashiriki Utiaji saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini - JKCC, Dodoma, Mei 13, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. B

    Rais Samia kushuhudia utiaji saini mikataba ya madini na kampuni 3 za Australia - Aprili 17, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia. Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia...
  6. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  7. Prof. Mbarawa usidanganye Umma juu ya mikataba ya ujenzi

    Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi. Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge. Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo...
  8. Kuna haja ya wananchi Tuwe tunapitia hiyo mikataba inayosahini serikali

    Madeni wanakopa wao afu madeni tunalipa sisi kulikoni?
  9. Wafanyabiashara Soko la Sinza walalamika kufanyiwa ubabe wa kulazimishwa kusaini mikataba viongozi wa Halmashauri ya Ubungo

    Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia. Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
  10. Je, mikataba inayosaini Serikali inapitia bungeni?

    Habari za saa members wote. Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. SWALI: 1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ? i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ? ii,Je, sheria za nchi...
  11. Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza Mikataba 14 ya Wakala wa...
  12. Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  13. Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  14. Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  15. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato –wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara- lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa. Wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  16. Makampuni yaliyo na mikataba na Haji Manara yaifute kwa udhalilishaji wa wanawake

    Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana. Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe. Natoa rai mikataba yake itenguliwe
  17. Diamond na mikataba ya Sukuma Gang inavyomtesa

    Pole Diamond, tutarudi hapa kukuanika upinzani wako kwa awamu ya 6
  18. Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  19. Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

    Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe. Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
  20. K

    Waziri Mwigulu usije kuanza kumlaumu Tundu Lissu kwa madeni ya mikataba

    Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba. Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…