Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...