Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta...
Licha ya Mikoa ya Kusini kutajwa kuwa miongoni mwa maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa Chakula Tanzania, mikoa hiyo bado ina Utapiamlo ambao umekuwa ukiathiri ukuaji wa Watoto kwa (46.2%).
Takwimu za NBS zinaonesha 30% ya Watoto wenye chini ya miaka 5 Nchini wana Udumavu. Mkoa wa Dar es Salaam...
Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature.
Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam.
Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania.
Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kujenga kampasi za vyuo vikuu katika mikoa...
Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania.
1. Mbeya
2. Katavi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Simiyu
6. Lindi
7. Geita
8. Mtwara
Muwe na usiku mwema
Habari,
Zile Gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaziacha wakistaafu au wanaondoka nazo?
Kuuliza siyo ujinga naomba majibu ya swali hilo hapo juu.
Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote!
Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
1. Dar es Salaam
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara?
Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu?
Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania.
Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara.
Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini.
Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu...
Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium.
Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika.
Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.
Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi...
Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa.
Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida.
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho.
Au...
Mikoa hii mwizi anaweza kujieleza kwanza, anaweza kukanywa, kupelekwa kituoni ama ikitokea kupigwa ni dozi ya kati tu.
Tanga
Pwani
Pemba
Unguja,
Dar kwa zamani ila sasa wageni wengi sana.
Mikoa mingine hata wahuni wakikuitia mwizi umekwisha, hakuna muda wa kukusikiliza, watu wanakusanyika...
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.