Kwakweli inashangaza sana
Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar
Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi.
Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo.
Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia
Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa
Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni.
Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ...
Baada ya kuchunguza...
Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022.
Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi...
Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo...
Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao wameshaijaribisha hii biashara ina changamoto zipi? Nataka nianze kusaka maeneo ya kuwekeza kwenye...
WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI
Mkoa Wa Singida Wapewa Siku Nane Kujinasua Kabla Ya Uhakiki
SINGIDA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia tarehe 27/4/2022 hadi tarehe...
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.
KAZI INAENDELEA
Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.
#CCMImara
#KaziIendelee
Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi?
Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
Salaam Wakuu,
Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura.
Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia.
Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
Salaam Wakuu,
UKEKETAJI NI NINI?
Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu.
Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
Nawasalimie yote kwa jina la muungano wa jamuhuri ya tanzania, kaa kichwa kinaposema, naomba msaada kwenu wakuu, je ni mikoa gani au wilagi gani ukulima wa pamba (cotton) uko kwa wingi sana hapa nchini.
Natanguliza shukrani zangu.
Asanteni sana,
Mimi wenu, dr tajiri tumbo kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.