mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sergio 5

    Hemed Morroco huwa unaenda mikoani kuangalia mechi za nini kama kikosi unaita hivi?

    Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE? KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu? Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
  2. mdukuzi

    Watu wa mikoani tukienda Dar tunang'ara ndani ya muda mfupi,tukirudi makwetu tunapauka

    Kuna dada wa kazi alienda huko daslam baada ya mwezi akarudi baada ya kupata msiba,siku anarudi ngozi kama mzungu.alikaa kuomboleza kwa wiki mblIi akafubaa tena. Wenzetuhuko daslam maji yenu ya kuoga munawekaga nini Nimemtaja huyo binti lakini mifano ninayo mingi tu
  3. BabaMorgan

    Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  4. yassird200

    Umachinga mikoani unalipa pia

    Habari za zenu wana JF. Leo nimeona ni share experience yangu hapo nyuma. Binafsi nimeajiriwa but private sector, baada ya kuhitimu elimu ya juu nilihangaika sana kwani nilihisi elimu yangu ingenisaidia. Lakini nikuja kugundua this TZ. Yeah, nilianza hustle za umachinga 2020/2023. Mwanzo...
  5. kingphisher

    Nataka nichukue mkopo ninunue mabasi ya mikoani

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology). Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
  6. white_charcoal

    Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
  7. G

    watu wa Dar es Salaam punguzeni ujuaji muwapo mikoani, Mwanaume kuvaa hereni mikoani ni mwiko

    DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k. Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni...
  8. A

    Wasafiri wataja top 10 ya mabasi yenye huduma nzuri kwenda mikoani 2024

    Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo. Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa mmoja uliyopo Kanda ya Ziwa. Nikiwa naendelea kuhudumiwa, nilishangaa namna mabasi yalivyo mengi...
  9. N

    Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  10. Kabende Msakila

    CDM Mikoani toeni matamko ya kumuunga mkono TAL - FAM amechuja sana

    Naipongeza shinyanga Napongeza Arusha Napongeza Pwani Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani kuwa na kiongozi kama FAM anayeishi kama mfalme. Nashauri tu.
  11. Revolution

    Mabasi ya mikoani kuwa na kituo kimoja cha kujisitiri

    Habari Wandugu! Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya mabasi yao na pia kuweka sehemu moja katika safari nzima kwa ajili ya huduma za kijamii ikiwepo kula na...
  12. Mkalukungone mwamba

    Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  13. S

    Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  14. Mparee2

    Acha kuteseka na Usafiri wa mikoani jaribu kusearch BUS BORA...yapo mengi unajichagulia....

    Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa. Jioni kabisa nikakumbuka huduma ya kubook online hivyo nika jaribu Ikatokea; www.busbora.co.tz
  15. G

    Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
  16. Stephano Mgendanyi

    Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  17. REJESHO HURU

    Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

    Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Hujuma Uchaguzi: Mwakajoka atuhumu kuenguliwa kwa Wagombea wa CHADEMA Mikoani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi. Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  19. O

    Biashara ya uingizaji wa vitu Tanzania, kutoka Nje na changamoto kubwa kwa watu wa mikoani

    Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau...
  20. Marcy

    Kwenu wasindikiza misiba na wafiwa mikoani

    Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri mazingira tunayo yakuta huko misibani kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa...
Back
Top Bottom