Habari ya asubuhi wakuu,
Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara wilaya ya Tarime, Geita, Kahama,Tabora, Katavi ten unarudi dar kumbuka kwanzia...