Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake...
Wana jf hamjambo?, hapa katikat iliibuka dini mpya ya wakrislam, nipendekeze mjumbe wake awe IPM
Nanauka hujambo? Nliwah kutaman uwe na uwezo flani hiv na maono ngazinya wizara kama waziri sio ngaz ya misemo kama motiveshen spika-mvizia hela za semina. Nilitaman kuona vision na ajenda zenye...
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi
Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza...
Dkt. Festo John Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI
"Mikopo ya asilimia 10 inatolewa kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupata mikopo isiyo na riba. [..] Aidha, umri wa ukomo katika mikopo kwa vijana umeongezwa kutoka miaka 35 hadi miaka 45."
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amewataka Vijana kutotumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kulipia mahari badala yake wafanyie shughuli za maendeleo akieleza kuwa Wanawake wamekuwa waaminifu kurejesha fedha hizo za asilimia 10 zinazotolewa na Halmashauri kuliko Vijana wa Kiume.
RC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.