Napendekeza kuwe na mikopo ya milion 2.5 kwa vijana ambao wanamaliza vyuo kama mtaji

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi

Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40

2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali

3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60

4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu

5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu

6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+

7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu

8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+

Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha

2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi

Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka

Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu

Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi

2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi

3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani

4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo

HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
 
Hivi Vyuo huwa mnasomea nini? Kama hata kuwaza kufanya kitu mnashindwa

Hiyo 2.5m nikikupa utaifanyia biashara gani itakayonirudishia hela yangu kwa wiki 3 bila Riba?

Au utalala mazima
Tuache utani kabisa wa hivyo
Bora tuwape wachunga Mbuzi
Sio kwa ubaya lakini
Kuna kijana huko Namibia anaitwa Simon Petrus kamsome
Amevumbua kupiga simu bila SIM card wala network bali kupitia Radio waves

Leteni ubunifu mfadhiliwe
 
SIo Kila msomi lazima avumbue kitu Hilo la Kwanza.

Pili, kwahyo unaridhia utapanyaji wa hela hovyo?

Tatu, Kwa maisha ya kitanzania 2.5 Milion ni nyingi sana katika kuondoa umaskini wa vijana hasa kuanzia biashara ya aina yoyote ya kawaida yenye manufaa kwake na kwajamii

Nne, Kwaakili hiz zako tutakua ombaomba daima uku wachache wakila keki ya taifa milele na milele
 
Ni kweli wanaovumbua sio wasomi wote hiyo ni logic

Na sijasema mvumbue wote
La pili siridhii utapanyaji wa Mali ya Umma hasha
Huo ni mfumo mlioukubali na mpaka mnaowapa ridhaa ya kukaa bungeni na kutunga sheria mnawaacha wafanye wanavyotaka

3, labda 2.5 ni nyingi kwa biashara ndogo ndogo lakini unaamini so called wasomi itawatosha kwa kuanza biashara?

Kile kilimo cha umwagiliaji kiliishia wapi kwenye Wizara ya Kilimo?
Ni wangapi walifanya mpaka sasa na kufaidika au walikimbia wote

Vijana wengi ni wavivu, tuambiane ukweli
Na hitimisho ni kuwa sema mtakuwa ombaomba daima kwa sababu mmekubali hayo Maisha ya bila mabadiliko

Haya mawazo yako yanawezekana kwenye nchi zilizoendelea ambazo zina Charitable Funds ambazo huwa wanatoa kwa vijana na kufanya chochote wanachotaka

Kama UK charities hizo zipo nyingi tu na hata King anayo tangu akiwq kijana na amesaidia wengi sana

Kwa huko sidhani Mbunge anaweza kutoa maoni haya na nyie ndio mnawachagua
 
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi

Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40

2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali

3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60

4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu

5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu

6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+

7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu

8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+

Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha

2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi

Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka

Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu

Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi

2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi

3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani

4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo

HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
Halmashauri zinatoa mikopo. Jifunzeni kufanya kazi kwa vikundi ili mnuafaike
 
Ni kweli wanaovumbua sio wasomi wote hiyo ni logic

Na sijasema mvumbue wote
La pili siridhii utapanyaji wa Mali ya Umma hasha
Huo ni mfumo mlioukubali na mpaka mnaowapa ridhaa ya kukaa bungeni na kutunga sheria mnawaacha wafanye wanavyotaka

3, labda 2.5 ni nyingi kwa biashara ndogo ndogo lakini unaamini so called wasomi itawatosha kwa kuanza biashara?

Kile kilimo cha umwagiliaji kiliishia wapi kwenye Wizara ya Kilimo?
Ni wangapi walifanya mpaka sasa na kufaidika au walikimbia wote

Vijana wengi ni wavivu, tuambiane ukweli
Na hitimisho ni kuwa sema mtakuwa ombaomba daima kwa sababu mmekubali hayo Maisha ya bila mabadiliko

Haya mawazo yako yanawezekana kwenye nchi zilizoendelea ambazo zina Charitable Funds ambazo huwa wanatoa kwa vijana na kufanya chochote wanachotaka

Kama UK charities hizo zipo nyingi tu na hata King anayo tangu akiwq kijana na amesaidia wengi sana

Kwa huko sidhani Mbunge anaweza kutoa maoni haya na nyie ndio mnawachagua
TUANZE hapo kupunguza umaskini ulokithiri

Pia miradi mingi ya kilimo ni ya mdomoni tu
 
Hivi Vyuo huwa mnasomea nini? Kama hata kuwaza kufanya kitu mnashindwa

Hiyo 2.5m nikikupa utaifanyia biashara gani itakayonirudishia hela yangu kwa wiki 3 bila Riba?

Au utalala mazima
Tuache utani kabisa wa hivyo
Bora tuwape wachunga Mbuzi
Sio kwa ubaya lakini
Kuna kijana huko Namibia anaitwa Simon Petrus kamsome
Amevumbua kupiga simu bila SIM card wala network bali kupitia Radio waves

Leteni ubunifu mfadhiliwe
huyo dogo najua habari zake amekosa sapoti tu,maana uvumbuz wake ukifanyiwa kaz uta ua ulaji wa mabeberu.
 
Sustainable empowerment inahitaji mfumo huru, uwazi, elimu ya biashara na mentorship.
 
huyo dogo najua habari zake amekosa sapoti tu,maana uvumbuz wake ukifanyiwa kaz uta ua ulaji wa mabeberu.
Labda afanye maporini tu ila mijini hata serikali inaweza kumuuwa

Yaani ni mpaka wakubali juu
Kama walivyokubali sasa kuwepo na magari ya Umeme.

Nilimsoma juzi huyu Dogo halafu ni ubunifu wake tu wala hakufanya kisa Elimu kubwa.
 
kabisa mkuu amesomea shule kama veta huko kwao chakushangaza serikali na jumuiya za teknolojia duniani zimemtupa hazina msaada kwake
 
Hawawezi kumsaidia tena kama hawajamuuwa kabisa

Simu ni soko kubwa sana haiwezekani ikawa bure.

Unaweza kuta hata wazungu wanajua Ila hawataki kufanya kwa sababu za kibiashara

Ila dogo genius
 
nilichojifunza ni kwamba ujinias mtu anazaliwa nao tu mfano walogundua bulb,gari,ndege,injini n.k .ni watu walokuwa na elimu dunia ndogo.
 
Ni kweli kabisa
Ubunifu mwingi sana unatokana na watu wa kawaida sana kama Mimi na wewe.
Maisha yanapokuwa magumu unapata idea ya kitu ili yawe mepesi

Hapa UK kuna makampuni mengi tu ambayo ni ya Ideas

Kuna moja naijua inaitwa bright ideas
Kama umewaza kitu na unajua haipo duniani basi unawachorea plan au kuwaandikia na unalipa kama 1.5m ya Bongo

Wanakushauri uwe na wakili wako
Mnaandikishana unawapa idea
Wao wanaingalia kama inafaa halafu wanakutumia barua kuwa ipo pia.
Unalipia gharama hiyo kidogo

Wao sasa wanaenda kuitengeneza na kuitafutia soko sehemu moja.

Ikipata soko zuri wanaitanua mpaka nchi nzima na baadae kimataifa

Wewe inakuwa ni Trademark ™️ yako na mauzo Una % nzuri tu kwenye mauzo

Kuwa Billionaire ni kunusa tu ikikubali.

Kuna Idea nilipata ila sikuwajua hawa
Baada ya miaka miwili nikaiona madukani
 
Mkuu naomba uniunganishe maana na idea nyingi sana Website yao tafadhari
 
Back
Top Bottom