Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
Unamaliza shule huna nguo,huna kitanda,huna nauli,huna hela ya kodi. Hiyo 2.5M itatumika kununua hivyo vitu,baada ya muda vitaanza kuuzwa tena. Labda iwe non-refundable.
Huwezi anza biashara huku mahitaji yako mwenyewe hujakamalisha/nusu
Huwezi anza biashara huku mahitaji yako mwenyewe hujakamalisha/nusu