Napendekeza kuwe na mikopo ya milion 2.5 kwa vijana ambao wanamaliza vyuo kama mtaji

Hakuna itakachosaidia, na HAIWEZEKANI!

Kitu unachotakiwa kukijua mapema kwenye hii Dunia... "Life ain't fair, and it never will be. Accepting that is the first step to peace." Hakuna mtu atakuja kuweka pesa kwenye mikono yako ili wewe upokee tu, tena kama ni serikali sahau kabisa. Bora wazazi wako wanaweza kufanya hivyo.

Vijana inabidi tukubaliane na mabadiliko yanayoendelea Duniani kote: gharama za maisha zipo juu, wahitimu ni wengi, na kazi ni chache, elimu inabadilika kila siku lakini mifumo ni ileile ya zamani.

Kila generation itapitia mateso yake: wapo walipita kipindi cha utumwa, vita ya Dunia, kipi kinatufanya sisi wa kizazi hiki tujione ni special sana na tunahitaji kutengewa kila kitu?

Hii Dunia ni ya wagumu tu, kuna watu wametukimbia na wengine wanatukimbia kila siku kwa hiari. Ni kupambana tu mwanzo mwisho.
Ujinga mtupu, hayo ulosema yapo applicable uko duniani sio uku afrika sisi Bado tupo zama za kale, tuanze kuinuka kidogo kidogo ndo njia nafuu na rahisi
 
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi

Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40

2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali

3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60

4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu

5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu

6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+

7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu

8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+

Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha

2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi

Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka

Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu

Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi

2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi

3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani

4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo

HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
Mtaji siyo tatizo, hizo Hela zitapotea, tatizo ni binadamu mwenyewe na mifumo wezeshi ya kufanya biashara
 
Nmeweka kipengele cha sustainability plan hapo watarudsha Hela watake wasitake
Tatizo ni aina ya mifumo ya uwezeshaji na utashi wa kisiasa
Hata mimi nafahamu kuhusu revolving fund

Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara ama mjasiriamali, asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka kwa Africa, (Tanzania), hii assilimia 20, ina nguvu hata kuua biashara
 
Tatizo ni aina ya mifumo ya uwezeshaji na utashi wa kisiasa
Hata mimi nafahamu kuhusu revolving fund

Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara ama mjasiriamali, asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka kwa Africa, (Tanzania), hii assilimia ina nguvu hata kuua biashara
Asilimia 100
 
Kwa akili hizihizi za vijana wa kibongo? Dhamana? Itakua kuongeza inflation tu kikenge
 
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi

Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40

2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali

3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60

4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu

5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu

6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+

7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu

8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+

Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha

2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi

Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka

Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu

Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi

2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi

3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani

4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo

HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
Mil 2.5 si watanunua iphone macho matatu?graduates wengi changamoto

pia hio hela ndogo,labda mil 10, ila kwa mikoani hio ni mtaji mzuri,na inawezekana kama ulivosema hapo
 
Ataetapanya Hela afungwe miaka miwili jela, nchi zote zilizoendelea zilikua na Sheria Kali, zisizo za kiutu na ngumu Kwa watu waovyo Ovyo wasiojitambua
 
utafunga wangapi? jela hazitoshi, pia suluhu ni kuweka mfumo wa mkopo usio n riba kabisa na sharti upitie mafunzo kama veta yaani viwanda vinavozalisha lasivo watanunua iphone 19
 
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi

Swali hizo hela zitatoka wapi?
Jibu ni hili
1. Kupunguza matumizi ya anasa kama magari ya million 400 serikali, na wanunue ya milioni 30-40

2. Posho zisizo na umuhmu Kwa wafanyakazi wa serikali

3. Mishahara, posho na kiinua mgongo vya wabunge kupunguzwa Kwa asilimia 60

4. Kuweka tozo ya shilingi mia Kwa wiki kwa watumiaji wa Simu

5. Tozo ya shilingi 20 Kwa Kila muamala unaozidi 2000 katika mitandao ya Simu

6. Kuanzishwe mfuko wa kuraise fund Kwa kila taasisi ya serikali na mashirika binafsi kila baada ya miezi sita Target iwe ni kukusanya bilioni 5+ kwakila awamu,jumla Kwa mwaka bilioni 10+

7. Ruzuku ya bilioni 50 kutoka serikali kuu

8. Kuomba misaada na ufadhili kutoka Kwa wadau wa kimataifa target ikiwa ni 15+

Jinsi ya kuendesha program
1. Iundwe taasisi itayosimamia utoaji wa fedha

2. Graduate wote wapate, kusewe na mtu kukosa Ili kuongeza uwazi

Makadirio ya makusanyo Kwa mwaka

Bilioni 200 Kwa mwaka na wanufaika watakua elf 80 tu

Urejeshaji wa mkopo
1. Baada ya miezi sita ya kupewa mtaji utaanza kurejesha elfu 40 Kila mwezi

2. Ukibahatika kuajiriwa utakatwa kwenye mshahara elf 50 Kila mwezi

3. Ukifirisika au ukila mtaji na ukashindwa kurejesha Kwa MUDa stahiki adhabu ni jera miaka 2 bila kesi kusikilizwa mahakamani

4. Biashara ziwe na bima Ili kupambana na matatizo ya moto, wizi na uncertainty zozote kwenye biashara hili mkopaji asishindwe kipitia kurejesha kutoka na matatizo hayo

HILI SWALA NI WAZO LAKINI KWA NATURE YA NGOZI NYEUSI HILI HALITAWEZEKANA KAMA ILIVONGUMU PAPA KUSILIMU
Umeandika upuuzi. Pesa zipo benki kwa nini wasiende kukopa huko, kwa udhamini wa serikali?.
Halafu hiyo 2.5m ni pesa kichele tu: itaongeza umasikini
 
Back
Top Bottom