Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022.
Hazina imeeleza kuwa mikopo imesainiwa kati ya Serikali ya Kenya, Wadau wa biashara na kati ya Nchi na Nchi...