Habari za asubuhi wana jukwaa.
Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post.
Ikanilazimu nipige simu kuwauliza ni wapi wamepata namba zangu ila majibu yao ni kuwa namba yangu wameipata kwa kuwa mimi ni...