mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU. Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao. This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
  2. D

    Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
  3. Bhaghosha

    CHADEMA mbadili utoaji hotuba katika mikutano kutoka kuhabarisha na kuwa ya kutia hasira ya mabadiliko

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa sababu wanainchi wengi wanajua hakuna ambacho kinaweza kuitoa madarakani CCM. Kwani wapige kura...
  4. ChoiceVariable

    Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni

    Jeshi la Polisi nchini Uganda limepiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kutokana na ukiukaji wa utaratibu na kumchafua Rais Yoweri Museveni. Polisi nchini humo wamesema mtu mmoja amefariki na wengine 10 kujeruhiwa vibaya katika...
  5. Dr Akili

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo. Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
  6. K

    Mikutano ya CHADEMA inavutia watu kwa hoja sio matusi!

    Nilikuwa namaikiliza mzee Msuya kwenye mahojiano. Amekubali kuwa Chadema wanaweza kujenga hoja kwa sasa kuliko CCM. Huu mtindo wa kugeuza udini na matusi ni mbinu za CCM ambazo hazina ushahidi wowote. 1. Bandari mkataba haujapata majibu ya maana 2. Kuhusu Ardhi za ngorongoro wamenyamaza 3. Bei...
  7. R

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  8. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  9. Rashda Zunde

    Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

    CHADEMA CHADEMA CHADEMA Mmeishiwa sasa mnakusanya watoto? Yaani wakati mama anafanikisha ujenzi wa madarasa na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupata elimu, nyie mnawatoa watoto mashuleni maana huu ni muda wa kuwa darasani mnawapelekea kwenye mikutano yenu. Hii si sawa kabisa. Acheni hii tabia.
  10. Mapensho star

    Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari Kama kijana...
  11. Erythrocyte

    Oparesheni 255: Tundu Lissu afanya mikutano 5 Bariadi Vijijini

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali...
  12. comte

    Wanaohudhuria mikutano ya +255 ya CHADEMA nusu ni CCM, wanawachora tu

    Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha, magorofa kibao, mbunge wa muda tu, lakini yupo simple, anaishi na watu wake.
  13. R

    Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  14. Mganguzi

    Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  15. N

    Mikutano ya CHADEMA yadorora

    Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji. Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye...
  16. Webabu

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kama kuna mikutano inayozungumzia mikataba mibovu basi kusiwe na ubaguzi.Muda umefika sasa wa kuitaja mmoja mmoja. Mengine irekebishwe na mingine ipo haja ya kuvunjwa mjoja kwa moja Mpaka sasa wale wanaokosoa mkataba wa bandari naona wamekaa kimya kwa mkataba ule wa kanisa na serikali wa mwaka...
  17. Crocodiletooth

    Wenye fani zenu za kisiasa,watanzania hawaitaji mikutano yenu,simamisheni tufanye kazi!

    Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi...
  18. S

    Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  19. B

    CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

    Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania. Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
  20. Ulimbo

    Sababu za kuzuiliwa Mikutano ya hadhara.

    Salaamu wana JF. Nimekuwa na maswali mangi ya kwa nini kuna mikutanoinazuiliwa kufanyika bila kupata majibu ya kutosha. Kumekuwepo na tabia ya viongozi hasa wa ccm wakishitikiana na jeshi la polisi kuzuia mikutano na makungamano bila kutoa sababu za kutosha. Kwa uchache tu: 1:Kuna kipindi...
Back
Top Bottom