mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  2. JF Member

    Kama CCM hamruhusu wananchi kuuliza maswali kwenye mikutano yenu basi mnamaliza pesa tu

    CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe. Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
  3. R

    Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Shonza aendelea na mikutano ya hadhara Kata ya Ifwekenya Wilayani Songwe

    MBUNGE JULIANA SHONZA AFYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA IFWEKENYA WILAYA YA SONGWE KUELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Songwe huku alitembelea Wajasiriamali wa vikundi...
  5. HPAUL

    Mikutano mingi na Mayele ya nini?

    Klabu ya Yanga imekuwa na mfululizo wa mikutano na mchezaji wao Mayele, mchezaji ambaye tumeaminishwa bado ni hatimiliki ya Yanga kwa mwaka mmoja ujao. Hivyo basi Yanga ina mamlaka ya kumtumia Mayele kwa mshahara wanaomlipa sasa kwa mwaka mmoja ujao. Na walishafanya hivyo kwa Fei Toto kwani...
  6. benzemah

    Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

    Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram "Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." "Kitakuwa na sifa zifuatazo; 1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000 2. Eneo la maonesho lenye...
  7. Poppy Hatonn

    Wananchi wana imani na Rais Samia, hii inaonekana kwa jinsi wanavyohudhuria kwa wingi mikutano yake

    Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao...
  8. The Boss

    Wallace Karia anaendaga mikutano ya CAF bila ajenda?

    Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza..... Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho... Nafikiri hizi agenda zifuatazo zinapaswa sasa kupiganiwa na Tff... 1. Goli la ugenini lifutwe... 2...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  10. Mag3

    Maajabu Tanzania: Benki ya NMB kufadhili mikutano ya ALAT

    ALAT ni Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa...Association of Local Authorities of Tanzania Benki ya NMB imefanikiwa kuchangia kiasi cha Sh. 200 milioni kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) unaotarajiwa kufanyika kwa siku...
  11. M

    Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  12. J

    Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Huo ndio Ukweli japo ni mchungu Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto" Jumatano iwe Njema kwako, amen!
  13. sky soldier

    Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  14. Lanlady

    CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  15. Mwl.RCT

    Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  16. zitto junior

    Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

    Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini. Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio...
  17. G-Mdadisi

    Kuandaa mikutano ya mara kwa mara katika ngazi ya jamii itasaidia kutatua kero na upatikanaji wa haki kwa wakati

    WAHAMASISHAJI jamii kupitia mikutano 39 walioifanya na jamii katika Wilaya nne za kisiwa cha Pemba walifanikiwa kuibua jumla ya changamoto/matatizo/kero 44 kwa mwaka 2022. Kero hizo ziliibuliwa maoneo tofauti kisiwani Pemba katika Wilaya ya Wete kero 12, Micheweni 12, Chake Chake 9 na Mkoani...
  18. Mganguzi

    Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  19. Allen Kilewella

    Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  20. L

    Mikutano Miwili ya China yaanza kukiwa na matumaini mapya

    Wakati wa Mikutano Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China NPC, na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC umefika. Hii ni mikutano muhimu ya China ambapo vyombo vikuu vya uwakilishi wa umma na majadiliano kuhusu sera na mambo yanahusu taifa yanafanyika. Mara zote...
Back
Top Bottom