Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani?
Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za...
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa.
Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali.
Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 170,000/tu.
Gharama zinajumuisha;
Free .co.tz domain/year
Free hosting for 6...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.
Nape alienda mbali zaidi na kusema...
Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi.
Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ?
AU
2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli?
AU
3. Wamponde Awamu zote za CCM?
Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia
Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe
Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa.
Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.
Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo, Januari 3, 2023 alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa na alisema: “Uwepo wangu mbele...
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
ccm
chadema
dk slaa
dr slaa
katazo
katiba
kisiasa
mikutanomikutano ya hadhara
mikutano ya kisiasa
mwendazake
ruhusa
serikali
upinzani
vyama vya upinzani
zuio
zuio mikutano ya hadhara
Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.