mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali wanapaswa kuzingatia taratibu za kupata vibali Dar es Salaam. Rais John Magufuli amesema hakuna...
  2. saidoo25

    Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  3. B

    Mikutano ya siasa wamebana, wameachia

    Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi. Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile? Kwamba tuwapongeze sasa kwa lipi kwenye kuamua kuanza kuiheshimu katiba? Nani asiyejua walijua nini yalikuwa...
  4. MSAGA SUMU

    Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

    Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa. Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
  5. MSAGA SUMU

    UVCCM Mbeya kufanya maandamano kumpongeza Rais kuruhusu mikutano ya kisiasa

    Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
  6. Raia Fulani

    Hotuba ya Rais kuhusiana na ruhusa ya mikutano na ufafanuzi alioutoa

    Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi na Rais anapata pongezi zake na wanaaminiwa na wananchi na wanaendelea kushika dola. Wakati Rais...
  7. R

    Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

    Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako? MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
  8. M

    Kwanini Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya vyama vingi sasa na si mara tu alipokabidhiwa madaraka?

    Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
  9. A

    DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

    Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni. Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023. Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni - Dar es Salaam. VIONGOZI WAWASILI Viongozi mbalimbali wa vyama wameshawasili ukumbini, wakiwemo...
  11. Mystery

    Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
  12. R

    Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  13. M

    Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  14. Nyankurungu2020

    Mikutano ya hadhara inayokiuka ibara ya 30 ya JMT ni ubatili wa kisiasa. Imeruhusiwa ili kupoza malalamiko ya ufisadi unaotamalaki nchini

    Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara? Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza...
  15. LUS0MYA

    Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
  16. Mwl Athumani Ramadhani

    Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

    Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo. Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana! Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama! Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
  17. Superbug

    Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  18. K

    Je, Nyerere angeogopa mikutano ya hadhara?

    Siku sikia kabisa wakati wa awamu ya Mkapa mwalimu Nyerere akipinga hata mara moja mikutano ya hadhara. Sasa inashangaza miaka hii bado kuna watu wanaogopa upinzani kiasi cha kuwatumia polisi kunyima vibali vya mikutano. Mimi namshauri Raisi na serikali yake kuruhusu mikutano na kujibizana kwa...
  19. J

    Mnyika atuombe radhi, alisema kuanzia Novemba 2022 CHADEMA itahakikisha imefanya mikutano ya hadhara bila kuogopa chochote

    Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma Majilio mema!
  20. BARD AI

    CHADEMA kuanza Mikutano ya Hadhara Desemba 2022

    Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba. Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao tutatangaza ratiba na kuanza mikutano ya hadhara, mwaka 2022 hautaisha bila CHADEMA kufanya mikutano ya hadhara ambayo ni...
Back
Top Bottom