Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana?
Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400.
Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili;
1. Ubadhirifu na ufujaji
2. Wizi...
JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11.
Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000)...
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia.
Hiyo biashara imejigawa pande...
Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo tarehe 19 Novemba, 2023 amepokea taarifa na kukagua ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Butiama kinachoendelea kujengwa katika Wilaya ya Butiama.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua na kupokea maelezo ya mradi huo, Mhe...
Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802.
Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali.
Kwa kuwa serikali yetu ni...
MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO
Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za wachimbaji wadogo wanaofanya kazi zao za uchimbaji wa madini katika kata ya Lukande wilayani humo...
Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1.
Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)?
NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU
Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela.
Vipi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni.
Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo.
Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.