Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mwaka 2022 Pato Ghafi la Taifa lilikuwa TZS trilioni 170.3 ikilinganishwa na TZS trilioni 156.4 mwaka 2021.
Hivyo, kutokana na idadi ya watu Tanzania Bara, Pato la Taifa kwa Mtu kwa mwaka 2022 ni TZS milioni 2.844 ikilinganishwa na TZS milioni...