1. Kununua Uwanja wa Ujenzi wa Tsh Milioni 4 na Laki Saba na Elfu Hamsini ( Tsh 4,750,000/= ) maeneo ya ndani ndani kiasi Kinondo, Mingoyo, Vikawe na Mapinga.
2. Kununua Ramani ya Nyumba Shilingi Laki Mbili na Elfu Hamsini ( Tsh 250,000/= )
3. Kujenga Nyumba ya Vyumba Vitatu kwa Tsh Milioni 25...
NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)amechangisha kiasi cha shilingi milioni 43 zitakazotumika kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mafunzo ya...
Habari ya usiku wakuu,
Natamani kupata ka vaccation kidogo nipunguze machungu ya hii dunia.
Nimekua nikitamani kwenda Dubai na kwa mambo ninayopitia naona kama huu ndio wakati muafaka wa kwenda huko nikiamini nitafurahi kidogo na kusahau kidogo mateso ya dunia hii.
So wakuu hiyo pesa itatosha...
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua:
"Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri.
Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
Heshima zenu wakuu!
Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko.
Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
Wana Bodi.
Kupitia kisa hiki na mafundisho haya naamini nitanusuru wengi na kutoa elimu tunduizi.
Taadhari:Lengo la makala haya na video si kufundisha wizi bali kutoa elimu kwa jamii wasiibiwe kizembe.
Kutokana na mabadiliko ya kitechnlojia watu wengi kwa sasa wanatumia mifumo ya kimtandao na...
Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara
============
Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo!
Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu.
Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
Mkali huyo wa 'Gods Plan' aliweka dau la Tsh. 621,617,182 kwa kumtabiria ushindi Bondia Nate Diaz ambaye amechezea kipigo katika raundi ya 5 ya mchezo uliokuwa na raundi 10.
Oktoba 2022, alipoteza Tsh. Bilioni 1.7 kwa kutabiri Barcelona ingeshinda dhidi ya Real Madrid, akapoteza tena Tsh...
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni.
Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Dk...
DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA
Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma.
Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge.
Aidha...
Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni.
Utaratibu huo nakuja baada ya...
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema gharama za kuasili wanyama ni TZS milioni 1 kila mwaka na kumpa mnyama jina lako TZS milioni 5.
----
Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa...
Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k.
Shule hizi kwa nchi nzima zinaweza zisifike 30, Kwa Dar jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.