Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni .
Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
Habari za Wakati huu;
Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za kiuchumi.Karibuni tujadili kwa pamoja.Nitaweka kwenye Comments Namna mbalimbali kwa kadiri ya Mahali...
Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip).
Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake.
Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
Watumishi hao ni Richard L. Kubona, Adelina K. Leonard na Musa S. Kalumba ambao ni Maafisa Biashara wa Manispaa ya Bukoba wamefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba Mkoani mbele ya Hakimu Mfawidhi Janeth Massesa.
Washtakiwa wamesomewa Makosa ya Matumizi Mabaya...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.
Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi.
Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
Idadi ya watoto wanaokosa elimu yoyote imeongezeka kwa milioni sita, na kufikisha jumla ya watoto milioni 250, kulingana na takwimu mpya zilizotolewa Jumatatu na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO).
Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linatokana na kutengwa kwa wingi...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi.
Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329.
Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
Watumishi hao ni Jackson M. Ngalama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TALGWU SUPPORT LTD, Emmanuel G. Mdoe, Mhasibu Mkuu na Timothy P. Mashishanga, Dereva wa Kujitegemea wote wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu katika Mahakama ya Wilaya Ilala.
Wote kwa pamoja wameshtakiwa kwa makosa ya...
Habarj wakuu
Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika.
Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa.
Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business.
Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
Haha wanangu wa majamvi wikiendi ya maokoto si ndo hiii, Kuna LiJackpot nimekutana nalo huko Sokabet, hehe yani mechi 6 tu unatabiri kwa buku tu!
Kama mnavonijua mm sio mchoyo wa michongo, Keka labgu hili hapa:
Amua Ushindi Wako, Usije sema sikukwambiaa😂😂😂
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya!
Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!.
Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60.
Nadhani hii iwekwe kwenye...
Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi
MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria.
Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza.
kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
JIMBO LA KITETO: SHULE YA MSINGI KONGWE YA LENGATEI YATENGEWA MILIONI 145,772,640 UJENZI WA MADARASA 6 & MATUNDU 8 YA VYOO
Ndugu Wananchi Wenzangu wa Lengatei natambua uchakavu wa Madarasa na Miundombinu ya Shule yetu Kongwe ya Msingi Lengatei iliyoanzishwa 1970 ndani ya Jimbo la Kiteto kwani...
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.