Habarini za usiku ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa miaka 27, nimeoa miezi mitatu iliyopita. Sasa, juzi ghalfa mke wangu akaanza kujisikia maumivu upande wa chini wa kulia. Baada ya kumpeleka hospitali nikaambiwa ana UTI na Fangasi,alipewa dawa za kutibu hayo maradhi lakini hakupata nafuu...