==
SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.
Na Mwandishi Wetu, Sikonge
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Kazi iendelee!
Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi.
Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO.
Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji?
Naam JIBU ni kwamba...
Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa.
Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati.
Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye nia ya kuwekeza kukosa fursa hiyo.
Amesema wapo wawekezaji wanaotaka kuwekeza katika Sekta hiyo maeneo mbalimbali nchini...
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa
Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk
Shule mbalimbali ikiwemo...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa...
SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao.
Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu
“Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032
▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa
Na WyEST,
MOROGORO
Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo.
Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo...
Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo
amesema awali...
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana.
Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits...
Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini?
Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua).
Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
Wakuu
Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini.
Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi!
maprofesa wa...