Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
askari
habari
hanang
iron
kufa
kutoka
kutokana
lady
maelfu
mafuriko
magogo
maria salungi
misaada
miti
mlima
mto
paa
picha
saikolojia
silaha
tanzania
tatizo
tukio
ushauri
vyombo
vyombo vya habari
watanzania
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ni vema kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka ukajitolea kusaidia watu kwa kiasi cha Pesa!.
Haujakatazwa kufanya starehe lakini angalau tenga kiasi kidogo ambacho kitawagusa wengine ili nao wajihisi ni sehemu ya wanadamu...
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko.
Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote...
Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.
Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake...
Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku.
Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.
Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
Iwe ni madini, mbuga za wanyama, ardhi yenye rotuba, vyanzo vya maji, vivutia, n.k. you name it, vimerundikwa kwa upendeleo wa ajabu sana hili bara.
Yani ni ule upendeleo wa wazi wazi, Laiti kama haya mabara yalikuwa yametuma barua za maombi ya rasili mali kwa Mungu basi Africa alikuwa ni...
Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea.
“Our fearless air force personnel air-dropped at midnight urgent medical aid to the Jordanian field hospital in Gaza,”...
Jumla ya mashirika ya misaada 18 yakiwemo ya UN leo yametoa tamko la pamoja kuibembeleza Israel isimamishe vita kutokana na kihoro cha maangamizi walichokiona.
Mashirika hayo yameweka pembeni kila aina ya hisia na imani walizonazo na kubakiwa na ubinadamu tu na kuona inatosha adhabu...
Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema vikwazo vya Israel ikiwwemo upekuzi ndicho kinachopelekea kutokuingia misaada Gaza kama inavyotakiwa. kupitia kituo cha Rafah
Katika malalamiko yake amesema malori lazima yapekuliwe katika kituo kinachoitwa Israel Nitzana ambacho kiko ndani ya Misri.Baada...
Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi.
Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi.
Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.
Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?
NB: Katika...
Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza.
Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja raisi Biden juzi kama ni makubaliano yake na Rais Elsisi wa Misri. Jana viongozi wa Hamas waliachia...
HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO:
Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada.
Binafsi nimefanikiwa...
Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa...
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada.
Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu.
Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel.
=============
The European Commission has decided to suspend funding for development projects in the Palestinian...
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata mfanyeje sawa?
Kudadadeki......!!