mishahara

  1. Ukubwa na udogo wa mishahara ni sababu ya rushwa

    Watu wengi tumekuwa tukiamini udogo wa mishahara ni moja ya chanzo au Sababu kubwa ya rushwa Jambo hili halihitaji akili kubwa kulielewa wewe vuta picha tu maisha ya leo alafu unakuta mtu analipwa laki tatu au nne mpka saba jumlisha ana watoto na mahitaji ya kila siku hapo ukikutana na mtu...
  2. Posho walipandisha mara 2 sababu zinawahusu wao, mishahara wakaongeza kiduchu kama danganya toto.

    Kuna mambo yako wazi sana wala hayahitaji rocket science kujua kwamba hawa wanasiasa wamejifavor wao, ukitumia hesabu za kawaida kabisa unaona lengo lilikuwa kujilipa vizuri wao na sio watumishi wa umma. Watumishi ambao wanalipwa kima cha chini nchi hii ni wachache sana, hata wale wa daraja la...
  3. F

    Tunaomba kulipwa malimbikizo ya mishahara ya nyuma (salary arrears)

    Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali.
  4. Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  5. Waziri Mkuu Majaliwa atoa ufafanuzi kuhusu ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi leo Julai 29, 2022

    Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu. === Aliyoyazungumza waziri Mkuu. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
  6. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  7. D

    Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

    Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
  8. SoC02 Mfumo wa kulipa mishahara waajiriwa wapya wa Serikali kwa kila mwaka wa ajira unahitaji kuboreshwa uendane na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
  9. Hivi mishahara kwenye NGO za kimataifa huwa ni kiasi gani?

    Mfano NGO kama DANIDA, SIDA na nyingine za aina hiyo huwa wanalipa mishahara kiasi gani kwa nafasi let's say kama ya Finance officer?
  10. Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  11. J

    Serikali yasema imewapa muda TUCTA wakajadiliane kuhusu mishahara mipya, na TUCTA wasema wameipa muda serikali

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema wameipa TUCTA muda wakajadiliane kuhusu mishahara mipya kisha walete mapendekezo yao serikalini. Naye Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema TUCTA wameipa muda Serikali ikaje na ufafanuzi juu mishahara kuwa pungufu ya Kima kilichoahidiwa. Rais...
  12. M

    Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu...
  13. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  14. Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  15. M

    Tuwe na Shukrani kwa Rais Samia, sio mawe tu kwa sintofahamu ya Mishahara

    Najua mtanipinga, lakini tusaidiane kuelewa kidogo. Kwanza asieshukuru kwa kidogo hawezi kuwa na shukrani kwa makubwa. Watumishi tulkua na matarajio makubwa sana juu ya 23%, lakini imetokea ilivyotokea. Ila, kwa mapato ya Nchi yetu na idadi ya watumishi hiyo 23% ingepigwa hivo kwa kila mtu...
  16. S

    Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  17. Watumishi wa Umma, Toshekeni na mishahara yenu

    Wasalamu wana Jf, Katika hizi siku mbili kumekua na mixed feelings kuhusu ongezeko la mshahara lililosubiriwa kwa takribani miezi mi-tatu. Wapo wanaona ongezeko hilo ni dogo na ni mockery kwa "watumishi wa umma", pia wapo wanaodhani hao watumishi hawastahili, si tu ongezeko, bali hata hiyo...
  18. Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  19. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  20. Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

    Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…