Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo.
Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...