mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Uko wapi Jerry Slaa? Vifurushi vya Intaneti vinaisha haraka

    Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka. Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu tusiingie mtandaoni? Internet ni uchumi. Serikali isinyamaze, Jerry FANYA mamboo. Siamini kama ni...
  2. Wa kulaumiwa ni Serikali mitandao ya simu inaonewa tu

    Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k. Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali kwakuwa hatuna katiba imara ya kufanya hivyo, Tigo na Voda au hata wengine, wanaangushiwa tu jumba...
  3. Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  4. V

    Mwananchi aliyesafri kwenda Dodoma kwa mgonjwa akitokea Singida atapeliwa na wasajili laini wa Mitandao ya simu

    Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu. Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
  5. Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

    Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi Uwakala wa simu...
  6. Tuwe makini, nahisi hii mitandao ya simu haina ulinzi wa uhakika

    Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea, cha kushangaza baada ya kukata tuu simu, kuna message ikaingia ya namba nyingine ngeni inasema...
  7. Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  8. Mitandao ya Simu yadaiwa kuilalamikia Starlink kwa kuongeza ushindani Sokoni

    Miezi 18 tangu kampuni ya Huduma za Intaneti ya Starlink iingie nchini humo, imedaiwa Mitandao ya Simu imeanza kupata changamoto ya ushindani sokoni. Kwa mujibu wa tovuti ya Citizen Digital, kampuni ya Safaricom imeandika barua kwa Mamlaka ya Mawasiliano (CA) ikidai uwepo wa Watoa Huduma za...
  9. S

    Kero ya mitandao ya simu kushikilia pesa za wateja pindi miamala inapofeli

    Kuna hii tabia ya mitandao ya simu kushikilia pesa za wateja pindi miamala inapofeli huwa inakera sana Ijumaa iliyopita nilifanya muamala toka akaunti yangu ya Tigopesa lakini cha ajabu pesa ilikatwa lakini kule nilipokua nadeposit muamala mpaka sasa hauja reflect na pesa haijarudishwa kwenye...
  10. Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
  11. A

    KERO Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu

    Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya. Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100. Umeme wa elf 1 unakatwa...
  12. Je, nipo sahihi kuacha uwalimu na kwenda kuwa Technician wa moja ya mitandao ya simu?

    Habari wanajamii? Kama Uzi unavyojieleza, Toka 2018 nimekuwa mwalimu wa hiari WA somo la fizikia, kutokana na kukosa kazi ya taaluma niliyoisomea, nimesoma Bsc. Information systems, nilikua mnyonge sana Kwan private schools hata muda WA kwenda kwenye interview huupati. Jana nimepigiwa simu...
  13. Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo. Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu. Airtel na Vodacom. Tigo ni wezi sio unlimited wanakupa unlimited kwa speed uliyolipia kisha wakiona unakamua kweli kweli bando kwa limit...
  14. Rais wetu mpenda maendeleo - tunaomba uboreshwaji wa mitandao ya simu boda ya Rusumo

    Team Jf, Salaàm! Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk Mtandao unaoshika sana eneo lile ni wa Rwanda maarufu kwa jina la MTN. Sasa hii husababisha mambo yafuatayo:-...
  15. Pre GE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

    Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi. Je, ni maelekezo kutoka juu? - Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
  16. Mitandao ya simu ina mpango gani na sisi wadaiwa wake?

    Kuna rafiki yangu kanifuata siku ya leo jioni nimsajilie laini ya vodacom, sikutaka kuhoji, tukaingia kwa wakala nikamtolea laini, ni kwa vile tu yeye hana NIN. Baada ya kumsajilia ndipo kuanza kuzungumzia usajili wa laini ya Tigo niliyomsajilia miezi miwili iliyopita. Akadai kuwa ameamua...
  17. Huu utapeli wa BIMA YA AFYA chini ya mitandao ya simu serikali wameubariki?

    Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano? Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia. Watanzania wengi wako busy na kusaka ugali, pia hawajui Sheria za msingi. Hawajui waanze wapi kupata haki zao. Kinachofanyika watu...
  18. H

    Nini kinaendelea katika mitandao ya simu?

    Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu. Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba...
  19. KERO Kampuni za mawasiliano kwanini mlazimishe mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?

    Hivi kuna haja gani ya kumlamisha mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?. Mtu anahitaji kuunga kifurushi cha data yaani internet bundle, lakini anapewa dakika ama na sms bundle. Sasa kwanini usiwekwe utaratibu wa uwanja mpana wa machaguzi ya vifurushi ili kumfanya mnunuzi kuwa huru zaidi...
  20. J

    Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…