mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I am Groot

    5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  2. Suley2019

    Zawadi Mkweru: Elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ianzie shuleni

    Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii. Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
  3. Sildenafil Citrate

    Mitandao ya kijamii husaidia kuwawajibisha viongozi wa Umma wasiotekeleza wajibu wao

    Katika jamii ya Kidemokrasia, Uhuru wa kutoa maoni Mtandaoni huupa Umma nafasi ya kuchunguza Shughuli za Serikali na kuwawajibisha Viongozi kwa matendo yao. Huwafanya Viongozi wawe Waangalifu na wenye busara katika kutekeleza Majukumu yao kwa uwazi kwa Manufaa ya Jamii nzima. ==== Katika...
  4. The Sheriff

    Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
  5. Idugunde

    Kelele za CHADEMA huko Twitter na mitandao ya kijamii mingine unaweza kudhani wanakubalika. Uraiani hamna lolote

    Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu. Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia. Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii. Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
  6. Mr. Purpose

    Mpaka sasa mitandao ya kijamii imekusaidiaje katika harakati za kupambana na umasikini?

    Mkuu kwema? Pole na uchovu wa safari ya kuperuzi JF. Boss, ebu tuongee kidogo kuhusu hii mitandao ya kijamii mpaka leo imekusaidia chochote ? Au unaonaga mauzauza tu 😅? Graduate uliyehitimu chuo na hauna Ajira, vipi hii mitandao ya kijamii unaichukuliaje? Ni sehemu ya kupotezea muda na...
  7. Msanii

    Nawashauri viongozi wasituhadae kwenye suala la gharama za mitandao

    Amani iwe kwenu. Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini. Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
  8. The Assassin

    Kwa nini Tanzania huduma nyingi za kisasa za mitandao hazipatikani?

    Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania. Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria. Sasa natumia Twitter...
  9. The Assassin

    Facebook bado ni baba wa mitandao Tanzania

    Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule. Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
  10. King Sae

    Je, mtu anaofuta usajili, records zinabaki kuwa laini ilitumika na mtu fulani?

    Yaani mfano… Mtu akisajili laini then akaamu KUFUTA usajili. Je, records zinabaki kwamba hii laini ilitumika na mtu fulani kusajiliwa au?
  11. N

    Bashe: Wananchi acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp

    Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja "Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
  12. N'yadikwa

    Mitandao ya kijamii kwa mgawanyo wa jinsia

    Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
  13. Pythagoras

    Ombi kwa mitandao ya simu

    Najua kuna baadhi ya mitandao ya simu wahusika wake wapo humu. Ombi langu, kama mnaweza ondoa ile huduma ambayo kama mtu anaongea na simu nyingine halafu akapigiwa, kusiwepo na ile "the number you're calling is busy..... namba unayopiga inatumika kwa sasa....." Huu ujumbe umekaa kisnitch sana...
  14. Mama Edina

    UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

    Salam za Jumatatu. Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk. Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna. Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
  15. JanguKamaJangu

    China yafungia akaunti za mitandao ya kijamii zinazokosoa sera ya UVIKO-19

    Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo. Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
  16. comte

    TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  17. Trubarg

    Viongozi wetu wapo active kwenye mitandao but ukiwafuata dm hawajibu

    Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
  18. Dra Maxie

    Siri katika uuzwaji wa data za whatsapp, Twitter na mitandao mingine

    Habari zenu, Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini? Data gani? Wanauza wapi? Wanaowauzia wanazitumia vipi? Nakumbuka niliwahi angalia muvi fulani ya kizungu ilikuwa inahusisha kudukua account za watu sasa pia...
  19. Lycaon pictus

    Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  20. Pang Fung Mi

    Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
Back
Top Bottom