Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini.
Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
Wakuu,
Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii.
Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.
Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.
Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.
Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,
Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu...
Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi?
Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao?
Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza.
Habari zenu wana jamvi.
Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe.
Je kuna...
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii.
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
Hello Bazzukulu!
Kukaa maghettoni bila michongo ya pesa ni hatari kwa afya ya uchumi wa jamii na taifa.
Raha ya maisha ni pesa na maendeleo. Huyu Chief Godlove, na Chimakeke ni madoni na misheni inspirers wa mchongo, wna akili fulani hivi ya kuchochea hasira za maendeleo.
Michano yao ya...
Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter.
Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni yeyote ile anatakiwa kuboresha huduma zilizokuwa zikitolewa hapo awali na sio kuharibu huduma.
Bwana...
Habari zenu watanzania bara wenzangu.
Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
Habari wakuu.
Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando.
Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako.
Nini maoni yako
Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki?
Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL:
Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.
Nasema nimegadhabishwa kwa...
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1
Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48
Mimi niombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.