Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
Habari za saizi,
Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo?
Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile .
Msaada
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc Mbonele na yule mzee wa kujifanya wa Mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo, nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
Siku hizi watu hawawezi kabisa kutunza siri. Kila mtu anataka aonekane anajua kitu fulani kuhusu mtu fulani. Anaona akikisema au kukishea na wengine anaona kama amekuwacool au anapata sifa. Mwambie mtu ishu ndogo tu kesho utashangaa kila mtu anajua. Haiwezekani kabisa kuwa na maongezi kama...
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.
Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti.
Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi.
Kwa mfano:
Airtel unakuta 1500 unapata 1gb
Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana mali kwa wanandoa!?
Naona kwenye mitandao hamjaweka bango la GSM ndio kusema mnatuona sisi hutujui...
Uonevu au Unyanyasaji kupitia Teknolojia unaweza kutokea kwenye Mitandao ya Kijamii, Majukwaa ya kutuma ujumbe, ya michezo na hata kupitia simu za mikononi. Ni tabia ya kujirudia inayolenga kumtisha, kumdhalilisha au kumkasirisha mlengwa
Mifano ya Uonevu huu ni pamoja na kusambaza uongo au...
Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama inalenga kuongeza ufahamu wa masuala yanayojitokeza mtandaoni ili kuhamasisha mitandao salama na bora zaidi.
Katika kuadhimisha Safer Internet Day, changamoto kama unyanyasaji mtandaoni na nyinginezo hupewa umuhimu kwani siku hii inalenga kuongeza ufahamu...
Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo...
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.
Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally
===...
Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
Nimefuatilia masuala kadhaa, yanakipeleka kuwaza mustakabari wa Wananchi wanyonge na vizazi vyao uko namna gani.
1. Kisa cha Mfanyakazi wa Wizara ya Afya aliyekamatwa na polisi kule mpwapwa akanyang'anywa fedha zake, akateswa, akatishiwa, akaandikiwa karatasi na kulazimika kuisaini bila...
Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania.
Mitandao siku hizi ina nguvu, inaweza ikatengeneza ajenda, ikapeleka ajenda ambako wala haikuwa, na mjadala ukawa ni wa moto sana." -...
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo..
Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
Kuelekea saa kumi na mbili leo, mitandao ya Twitter na YouTube imekumbwa na kwikwi.
Haya mambo ya kuchaguliana kipi tusikilize au kipi tusione hali tumenunua bando na kulipia tozo zenu zote yanatoka wapi?
Ama kwa hakika tunastahili maelezo kwa kuingilia starehe zetu.
TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia.
Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT.
Viwango hivyo vinaonyesha kuwa TikTok...